Ni wakati wa kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuwa na mustakabali bora na #HewaSafiKwaWote
Wakati huu wa maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Hewa Safi ili kuwa na mawingu ya bluu, ni wakati wa kutafakari na kuweka malengo mapya na kubadili matamanio yetu ili kuwa na #HewaSafiKwaWote.
Tunapoelekea kuadhimisha kwa mara ya kwanza #SikuYaHewaSafiDuniani, tuaangazia masasisho kutoka kwa Vyombo vya Umoja wa Mataifa, kutoka kwa wabia na wengineo wanaosaidia kumulika athari ghasi mno za uchafuzi wa hewa kwa afya ya binadamu, kwa hali ya hewa, kwa bayoanuai na mifumo ya ekolojia, na kwa kiwango cha ubora wa maisha kwa jumla.