Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa linashukuru kila mtu aliyesaidia kuandaa na kufanikisha Siku ya Kimataifa ya Hewa Safi ili kuwa na mawingu ya bluu kupitia shughuli mbalimbali kote ulimwenguni. Shukrani za dhati ziendee mashirika haya ambayo yamechangia kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutoa data na makala ya kupitisha ujumbe ili kuwafikia watu wengi.