Ili kuibuka washindi katika katika vita vyovyote, ni sharti kumfahamu adui yetu. Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa na wabia wake, kama vile Shirika la Afya Duniani , wanatoa taarifa mpya mara kwa mara kuhusu uchafuzi wa hewa na kufanya utafiti wa kupelekea masuluhisho mapya. Soma ripoti kupitia linki zilizopo hapo chini ujifahamishi zaidi ili uweze kuchukua hatua mwafaka.