Mara yetu ya kwanza duniani, tunachovuta mara 12 kwa dakika, hutuweza kuishi au hutudhuru.

Asilimia 99 ya watu duniani huvuta hewa chafuwa. Hatuwezi kuendelea kustahimili hali hii.

 

Uchafuzi wa hewa ni tishio kubwa la kimazingira kwa afya katika nyakati zetu. Pia hufanya mabadiliko ya tabianchi kuwa mabaya zaidi, hupelekea hasara kwa uchumi na kupunguza uzalishaji wa kilimo.

Hautambui mipak ni wajibu wa kila mtu kulinda anga zetu na kuhakikisha kuwa kuna hewa bora kwa watu wote. Kwa kushirikiana pasipo na kuzingatia mipaka, kati ya sekta mbalimbali na kwenye maghala, tunaweza kupunguza uchafuzi wa hewa, kwa kuwekeza kwa muda,  kwa rasilimali na kwa juhudi za pamoja. 

Wakati wa Siku ya Kimataifa ya Hewa Safi ili kuwa na anga za bluu, tunatoa wito kwa kila mtu, kuanzia kwa serikali, mashirika, hadi kwa mashirika ya uraia na kwa watu binafsikuwekeza kwa #HewaSafiSasa

Kwa kukabiliana na uchafuzi wa hewa kikamilifu tunaweza kuletea mabadiliko chanya na kuwa na hewa safi kwa wote.

 

#SikuYaHewaSafiDuniani / #HewaSafiSasa
Jifahamishe Zaidi

Sajili hafla yako

Taarifa kutoka kwa Umoja wa Mataifa, washirika, na wengineo zinazoangazia athari mbaya zaidi za uchafuzi wa hewa

 

Mwongozo wa hewa safi

 

Habari za hivi punde
Toleo la habari

Mfumo wa teknolojia ya kiwango cha juu unaotambua uvujaji mkuu wa methani umewasilisha arifa 1,200 kwa serikali na makampuni katika kipindi cha…

Tukio

UNEP inasaidia nchi sita kupunguza uchafuzi wa hewa na uzalishaji wa gesi ya ukaa. 

Tukio

Jifahamishe zaidi kuhusu tatizo la uchafuzi wa hewa, umuhimu wa hewa safi na manufaa ya kushirikiana #PamojaKuwaNaHewaSafi tunapoelekea Siku ya…

Tukio

Tunaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hewa Safi ili kuwa na anga za buluu mwaka huu kwa kuangazia kazi ya kukabiliana na uchafuzi wa hewa Bogota,…